Back to home
Maelfu ya wageni wanahudhuria sherehe ya utamaduni ya Maa
video
C
Citizen TV (Youtube)November 6, 2025
2h ago
Sherehe za kitamaduni za jamii ya Maa zimetoa nafasi Kwa biashara hasa ya ushanga na bidhaa mbalimbali kunoga, katika eneo la Amboseli. Kina mama wanaouza ushanga na bidhaa zingine Kwa maelfu ya wageni ambao wanahudhuria hafla hiyo, wanasema Kuna haja ya Serikali kuimarisha soko





