Back to home
Wafanyibiashara mjini Nanyuki wanalalamikia kutapakaa kwa taka kote
video
C
Citizen TV (Youtube)November 6, 2025
2h ago
Wafanyibiashara mjini Nanyuki wamelalamikia kero ya taka, jambo lililosababisha uchafu mwingi kutapakaa katika sehemu nyingi mjini huo.





