Back to home
Wakazi wa Trans Nzoia walalamikia ushuru mwingi
video
C
Citizen TV (Youtube)November 6, 2025
2h ago
Wakazi wa Kaunti ya Trans Nzoia wametoa wito kwa serikali ya kitaifa kupunguza mzigo wa ushuru unaowaathiri Wakenya wengi, hasa wafanyabiashara wadogo, ambao wanakabiliwa na changamoto kubwa kutokana na kupungua kwa matumizi ya wananchi.





