Back to home

Wakulima Kitui watakiwa kupanda mimea isiyohitaji mvua kutokana na ukosefu wa mvua ya kuridhisha

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 6, 2025
2h ago
Katika kaunti ya Kitui, Wakulima wamehimizwa kupanda mimea ambayo inaweza kustahimili kiangazi kufuatia utabiri wa hali ya hewa kuwa eneo hilo litapata mvua ya kiwango cha chini ya wastani.