Back to home
Idadi ya watu waliofariki kufuatia vurugu za huko Ikolomani kaunti ya Kakamega imefikia watu 4
video
C
Citizen TV (Youtube)December 5, 2025
1h ago
Idadi ya watu waliofariki kufuatia vurugu za Alhamisi huko Ikolomani kaunti ya Kakamega imefikia watu wanne baada ya mtu mmoja zaidi kufariki akipokea matibabu. Wakazi wengine watatu wanapokea matibabu baada ya kupigwa risasi huku maafisa wawili wa polisi wakiwa mahututi baada ya



