Back to home

Maelfu ya watoto wachanga wanaaga dunia Kenya kutokana na upungufu wa vifaa na huduma

video
C
Citizen TV (Youtube)
December 7, 2025
9h ago
Kenya inaendelea kupoteza maelfu ya watoto wanaozaliwa kabla ya wakati, kupitia vifo ambavyo madaktari wanasema vinaweza kuzuilika. Kukosekana kwa vifaa, nafasi finyu, na mifumo duni ya rufaa katika hospitali nyingi za umma kunawafanya watoto njiti kuaga dunia. Huduma maarufu ya
Advertisement