Back to home
Viongozi wa Kenya Kwanza wasihi Kalonzo aeleze DCI matamshi yake kuhusu kifo cha Francis Ogolla
video
C
Citizen TV (Youtube)December 7, 2025
9h ago
Viongozi wa Kenya Kwanza wanataka Kiongozi wa Wiper Kalonzo Musyoka kuandikisha taarifa na DCI kuhusu matamshi yake kuwa mkuu wa majeshi marehemu Francis Ogolla aliuawa. Viongozi hao wanasema ni sharti Kalonzo achunguzwe ili athibitishe matamshi yake na iwapo yamechochewa kisiasa
Advertisement





