Back to home

Oginde: Wafanyakazi wengi wa serikali wana vyeti ghushi

video
C
Citizen TV (Youtube)
December 8, 2025
1h ago
Ripoti ya Tume ya Maadili na kupambana na ufisadi ya mwaka wa 2024-2025 imeonyesha kuwa rushwa ilibaki kuwa kosa lililoripotiwa zaidi nchini. Masuala ya ufujaji wa fedha, mwenendo usio wa kimaadili na ununuzi wenye udanganyifu yaliorodheshwa kama masuala yaliyoripotiwa na kuchung
Advertisement