Back to home

| Ukumbi | Kenya ya matajiri wachache [Part 2]

video
C
Citizen TV (Youtube)
December 8, 2025
2h ago
Oxfam na KHRC zasema Kenya ni ya matajiri wachache Ripoti zinaonyesha kuwa wakenya wengi ni masikini Oxfam: Wakenya 125 wana utajiri uliozidi wa wakenya 42m KHRC inasema kati ya wakenya 10, wanne ni maskini
Advertisement