Back to home
Nakhumicha: Wanawake wa tabaka la chini wameathirika zaidi na mabadiliko ya tabianchi
video
C
Citizen TV (Youtube)December 8, 2025
4h ago
Kenya imejizatiti kuongeza rasilimali kwa wanawake wanaohusika katika kampeni za amani, usalama na mabadiliko ya hali ya tabianchi. Akiongea katika hafla iliyokuwa jijini Nairobi wikendi, mwakilishi wa kudumu wa Kenya kwa UN-Habitat, Susan Nakhumicha alibaini kuwa wanawake wa tab
Advertisement





