Back to home

Kongamano la saba la mazingira la umoja wa mataifa, UNEA-7, laanza rasmi jijini Nairobi

video
N
NTV Kenya (Youtube)
December 8, 2025
4h ago
Kongamano la saba la mazingira la umoja wa mataifa, UNEA-7, limeanza rasmi jijini Nairobi. Kongamano hilo limeleta pamoja mawaziri wa mazingira kutoka maeneo yote ya dunia kushiriki mazungumzo kuhusu masuala yanayoathiri mazingira. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest K
Advertisement