Back to home

Vijana watarajiwa kuandaa maandamano mkubwa nchini Tanzania hapo kesho

video
N
NTV Kenya (Youtube)
December 8, 2025
2h ago
Tanzania itaadhimisha siku ya kumbukumbu ya uhuru wa taifa hilo tarehe 9 Disemba ambayo ni kesho katika kipindi ambacho taifa hilo linamulikwa na darubini kali kwa madai ya ukiukaji mkubwa wa haki za kibinadamu kufuatia uchaguzi uliokumbwa na machafuko oktoba 29 siku ya uchaguzi
Advertisement