Back to home
EACC yasihi mageuzi ya kisheria ili kupambana na ufisadi, yaokoa mali ya Sh3.4 bilioni
video
C
Citizen TV (Youtube)December 8, 2025
2h ago
Tume ya maadili na kupambana na ufisadi EACC sasa inataka mageuzi ya kisheria kupewa mamlaka zaidi kukabiliana na ufisadi nchini. kwenye ripoti yake ya kila mwaka pia ikitangaza kufanikiwa kuokoa mali ya ufisadi ya shilingi bilioni 3.4 katika mwaka wa kifedha uliopita. EACC inape
Advertisement




