Back to home

Wakazi wanaoishi karibu na msitu wa Mlima Elgon washauriwa kuutunza

video
C
Citizen TV (Youtube)
December 9, 2025
1d ago
Wakazi wanaoishi pembezoni mwa Mbuga ya Mlima Elgon wamesisitizwa kuimarisha juhudi za kulinda misitu ili kuhakikisha rasilimali hizo zinaendelea kufaidi vizazi vijavyo.
Advertisement