Back to home

Maraga aahidi kulinda mali ya umma, akiwataka vijana kujisajili kupiga kura

video
C
Citizen TV (Youtube)
March 9, 2026
2h ago
Kinara wa chama cha UGM David Maraga amesisitiza umuhimu wa kuzingatia sheria na kuhakikisha fedha za umma hazipotei, ili wakenya wapate huduma kutoka kwa serikali kama inavyostahili .
Advertisement