Back to home
Wakazi wa Diani wasema ardhi yao inamilikiwa na mabwanyenye
video
C
Citizen TV (Youtube)December 9, 2025
1d ago
Baadhi ya wakazi wa Diani Kaunti ya Kwale wanaodai kudhulumiwa ardhi zao miaka ya 80 wanataka serikali kuharakisha kutimiza ahadi yake ya kurejesha ardhi zilizosalia ambazo zinatumiwa na mabwanyenye.
Advertisement
Advertisement




