Back to home

Mamlaka ya NTSA yawapokonya leseni madereva 62

video
C
Citizen TV (Youtube)
December 9, 2025
1d ago
Mamlaka ya kitaifa ya Uchukuzi na Usalama barabarani, NTSA imezuilia leseni za madereva 62 wa magari ya uchukuzi wa umma na kuamuru wapewe upya mtihani wa madereva. Hatua hii inafuatia tathmini ya ukiukaji wa sheria za trafiki .
Advertisement
Mamlaka ya NTSA yawapokonya leseni madereva 62 (Video)