Back to home

Rais Ruto awahakikishia Wakenya maelezo yao ya afya hayatapelekwa Marekani

video
C
Citizen TV (Youtube)
December 10, 2025
12h ago
Rais William Ruto amewahakikishia wakenya Kwamba maelezo yao ya afya hayatatumwa Marekani huku akitetea Makubaliono ya afya ya hivi majuzi kati ya Kenya Na Marekani
Advertisement