Back to home

Mahakama yasitisha kwa muda mkataba wa afya wa Kenya-Marekani

video
C
Citizen TV (Youtube)
December 11, 2025
7h ago
Mahakama Kuu imesimamisha Kwa muda utekelezaji wa Mkataba wa Ushirikiano wa Afya kati ya Serikali ya Kenya na Serikali ya Marekani, uliotiwa saini tarehe 4 Desemba 2025.
Advertisement