Back to home

Maafisa 7 wa zamani wa wanamaji kizimbani uchunguzi wa wizi wa mihadarati ya Sh8.2 bilioni waendelea

video
C
Citizen TV (Youtube)
December 11, 2025
6h ago
Mahakama ya mombasa imeagiza maafisa saba wa zamani wa jeshi la wanamaji kusalia korokoroni kwa siku 10 ili kutoa nafasi ya uchunguzi kuhusu shehena ya mihadarati ya shilingi bilioni 8.2 iliyotoweka chini ya ulinzi wao
Advertisement