Back to home

Waandishi wa habari wahimizwa kuhubiri amani

video
C
Citizen TV (Youtube)
December 15, 2025
4h ago
Muungano wa Wahariri nchini umewataka waandishi wa habari kuongeza juhudi za kuhubiri amani na mazungumzo ya kijamii, hasa katika maeneo yanayokumbwa na migogoro.
Advertisement