Back to home

Vijana wahimizwa kuwa waadilifu kwenye matumizi ya AI

video
N
NTV Kenya (Youtube)
December 15, 2025
3h ago
Licha ya maendeleo ya teknolojia na akili unde kuendelea kukita mizizi kwenye vyuo vikuu, wataalam wa afya wanasisitiza kwamba huduma kwa binadamu haibadiliki na kuwahimiza wanaohitimu kwa sekta ya matibabu kudumisha uadilifu katika matibabu. Subscribe and watch NTV Kenya live f
Advertisement