Back to home
Wakulima wa Saghalla Taita Taveta wameanza kukumbatia kilimo cha Makonge
video
C
Citizen TV (Youtube)December 16, 2025
3h ago
Kutokana na mabadiliko ya tabia nchi, wakulima eneo la Saghalla kaunti ya Taita Taveta wameanza kukumbatia kilimo cha Makonge. Wakulima wakisema kilimo hicho kimewaondolea hasara inayotokana na kiangazi ambapo sasa ukuzaji wa mahindi umekuwa vigumu katika siku za hivi karibuni
Advertisement
Advertisement




