Back to home

DCI wakagua simu ya Jirongo huku uchunguzi ukiendelea, Ruto atoa rambirambi zake

video
C
Citizen TV (Youtube)
December 18, 2025
9h ago
Maafisa wa upelelezi wa mauaji wanakagua simu ya marehemu Cyrus Jirongo huku uchunguzi w akifo chake ukiendelea. Aidha DCI wamemtaka dereva wa basi lililohusika kwenye ajali hiyo kufika kituoni kuhojiwa zaidi. Na kama anavyoarifu fraknlin wallah, haya yanajiri huku rais William R
Advertisement