Back to home
Ruto atangaza mpango wa ufadhili wa masomo wa Sh500 milioni kila mwaka kusaidia jamii ndogo
video
C
Citizen TV (Youtube)December 18, 2025
9h ago
Rais William Ruto ametangaza kuanzishwa kwa Mpango wa Kitaifa wa Ufadhili wa Masomo wa shilingi milioni mia tano kila mwaka, ili kusaidia jamii ndogo kupata elimu bora ya sekondari na elimu ya juu.
Advertisement
Advertisement




