Back to home
Serikali ya Makueni yaanzisha huduma mashinani kufaidi raia
video
C
Citizen TV (Youtube)December 19, 2025
3h ago
Serikali ya makueni kwa ushirikiano na serikali kuu imeanzisha zoezi la utoaji huduma za serikali katika maeneo ya nyanjani almaarufu huduma mashinani, zoezi hilo likilenga kuwafikia zaidi ya watu elfu hamsini kwenye kaunti hiyo na hususan vijana ambao wanakabiliwa na changamoto
Advertisement
Advertisement





