Back to home
Wanawake Laikipia wahifadhi kima kwa kutumia teknolojia ya rununu na darubini
video
C
Citizen TV (Youtube)December 20, 2025
8h ago
Utumizi wa teknolojia katika maswala ya utunzaji wa mazingira umekuwa kigezo muhimu cha kuhifadhi mazingira na kupunguza migogoro kati ya binadamu na wanyamapori katika eneo la ontulili kaunti ya laikipia. Kikundi cha kinamama cha ontulili primates protection kinatumia teknolojia
Advertisement
Advertisement





