Back to home

Viongozi wa ODM wasema mgao wao serikalini hautoshi

video
C
Citizen TV (Youtube)
December 22, 2025
2h ago
Viongozi wa chama cha ODM wameendelea kushinikiza majadiliano mapya kuhusu uhusiano wa chama hicho na chama tawala cha UDA kabla ya uchaguzi mkuu wa 2027.
Advertisement