Back to home

Viongozi wanaomuunga mkono rais Ruto eneo la Ukambani wazomwa

video
N
NTV Kenya (Youtube)
December 23, 2025
2h ago
Viongozi wanaomuunga mkono rais Ruto katika eneo la Ukambani wanakumbana na vikwazo vya kuzungumza hadharani na badala yake kuzomewa kwa nyimbo za siasa.
Advertisement