Back to home

Polisi mjini Mombasa wamsaka mshukiwa mmoja wa wizi wa magari

video
C
Citizen TV (Youtube)
December 23, 2025
4h ago
Maafisa wa polisi mjini Mombasa wanamsaka mshukiwa wa wizi wa magari anayedaiwa kuwahadaa wanunuzi kuwa angewaangizia magari kutoka nje na kuwalaghai mamilioni ya pesa.
Advertisement