Back to home
Uchumi mbaya wakausha Krismasi kwa wakenya wengi
video
N
NTV Kenya (Youtube)December 24, 2025
3h ago
Mara nyingi na kwa miaka ya hapo awali wakenya wengi husafiri kutoka mjini wakielekea vijijini ili kusherehekea krismasi na familia zao lakini hali hii inaonekana kubadilika mwaka huu kwani wengi wamesalia mjini huku wakiendeleza biashara zao kama kawaida.
Subscribe and watch N
Advertisement
Advertisement




