Back to home

Kampuni ya KETRACO yaamrishwa kumrudisha kazini Wamukota

video
C
Citizen TV (Youtube)
December 24, 2025
2h ago
Mahakama ya Ajira jijini Nairobi imebatilisha uamuzi wa kampuni ya KETRACO wa kumsimamisha kazi Mhandisi Antony Wamukota, ikitaja hatua hiyo kuwa kinyume cha Katiba, na inayokiuka haki za msingi za mfanyakazi.
Advertisement