Back to home
Jamii za wafugaji zasherehekea utamaduni wao Nachola, Samburu
video
C
Citizen TV (Youtube)December 24, 2025
2h ago
Awamu ya tatu ya makala ya sherehe za "Tobong Nawi" imetoa nafasi kwa jamii hasimu za wafugaji zinazoishi baragoi samburu kaskazini, kuzika uhasama wa tangu jadi. Jamii hizo zikishiriki sherehe hizo kwa kuimba nyimbo na kudhihirisha tamaduni zao.
Advertisement
Advertisement





