Back to home
Naibu Rais Kithure Kindiki awataka wasafiri kuzingatia sheria za trafiki
video
C
Citizen TV (Youtube)December 25, 2025
3h ago
Naibu rais kithure kindiki amewataka madereva na watumizi wengine wa barabara kuwa makini ili kuzuia ajali zinazotokana na utepetevu barabarani.
Akizungumza na wakazi wa tharaka nithi pamoja na majirani zao waliofurika nyumbani kwake irunduni kwa sherehe za krismasi, kindiki alis
Advertisement
Advertisement

