Back to home
Mkuu wa Mawaziri Musalia Mudavadi ataka kura ya maamuzi wakati wa uchaguzi mkuu
video
C
Citizen TV (Youtube)December 25, 2025
3h ago
Mkuu wa Mawaziri, Musalia Mudavadi, amependekeza kura ya maamuzi ya kikatiba iandaliwe sambamba na Uchaguzi Mkuu wa mwaka wa 2027.Mudavadi amesisitiza kuwa kuunganishwa kwa michakato hiyo kutawezesha Wakenya kuamua masuala tata kama vile ripoti ya NADCO, nafasi ya Waziri Mkuu, na
Advertisement
Advertisement




