Back to home

Uvuvi Hatari Somaliland

video
C
Citizen TV (Youtube)
December 27, 2025
4h ago
Ongezeko la idadi ya wavuvi limeathiri pakubwa sekta ya uvuvi Nchini Somaliland,na kusababisha kiwango cha samaki katika bahari ya Shamu kupungua kwa asilimia arobaini. Hali hiyo imewaweka wakazi wa eneo hilo kwenye hatari ya kukosa lishe. Laura Otieno anaangazia juhudi za serika
Advertisement