Back to home
Watalii wafurika Mombasa kufurahia fukwe za bahari
video
N
NTV Kenya (Youtube)December 29, 2025
4h ago
Wageni wanaendelea kuzuru Pwani ya Kenya kwa msimu huu wa sherehe za Krismasi na mwaka mpya. Wengi wao wanafika kufurahia fukwe za bahari, kujivinjari katika maeneo ya burudani na hata kujumuika na wenyeji ambao ni wenye mila na desturi za kuvutia.
Subscribe and watch NTV Kenya
Advertisement
Advertisement




