Back to home

Wavuvi watano waangamia baada ya boti kuzama Ziwa Victoria, Siaya

video
C
Citizen TV (Youtube)
December 29, 2025
3h ago
Wavuvi sita wamesombwa maji katika visa viwili tofauti kwenye fuo za sanda na Mageta, katika ziwa victoria kaunti ya Siaya. Kisa cha kwanza kilitokea kwenye ufuo wa Sanda, ambapo wavuvi watano walisombwa maji baada ya boti walimokuwa ndani kuanguka ziwa victoria. Miili ya wavuvi
Advertisement