Back to home
Nyeri 2025: Vurugu, maandamano na matukio yasiyo ya kawaida yaliyoikumba kaunti
video
C
Citizen TV (Youtube)December 29, 2025
3h ago
Kwa miaka mingi, eneo la kati halikuwahi kushuhudia maandamano ya kiwango kikubwa na hata yale yaliyoshuhudiwa hayakuwahi kwa njia yoyote kuchangia uvamizi wa biashara na vitega uchumi tofauti vya wakazi. Ila mwaka huu wa 2025, matukio mapya yalishuhudiwa eneo hili, Ikiwa ni pamo
Advertisement
Advertisement





