Back to home

Uchunguzi wa kifo cha Cyrus Jirongo waendelea huku wito wa haki ukiimarishwa

video
C
Citizen TV (Youtube)
December 29, 2025
3h ago
Idara ya polisi sasa inasema inatumia teknolojia za kisasa kukamilisha uchunguzi wa kifo cha mbunge wa zamani wa Lugari Cyrus Jirongo. Naibu Inspekta wa Polisi Gilbert Masengeli ametoa hakikisho hili huku wanasiasa waliozungumza kwenye ibada yake ya wafu huko Kitale wakitaka uchu
Advertisement