Back to home

Familia ya polisi wa NPR aliyetoweka Desemba 23 wataka vyombo vya usalama kubaini aliko

video
N
NTV Kenya (Youtube)
December 30, 2025
3h ago
Familia ya polisi wa akiba NPR James Lojorin Learipanae kutoka Isiolo, ambaye alitoweka katika mazingira yasiyoeleweka tarehe 23 Desemba mwaka huu imelalamikia ulegevu wa vyombo vya usalama katika kubaini alipo ndugu yao. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan new
Advertisement