Back to home

Wazazi walia kuhusu nafasi za shule za darasa la 10

video
C
Citizen TV (Youtube)
December 30, 2025
3h ago
Wiki mbili kabla ya wanafunzi wa sekondari ya juu kuripoti shule chini ya mfumo mpya wa cbe, baadhi ya wazazi na wanafunzi wanaonyesha kutoridhishwa na shule ambazo wametakiwa kujiunga nazo. Baadhi yao wakisema kuwa hadhi ya shule walizopewa ni chini ya matokeo ya wanafunzi. Wiza
Advertisement