Back to home
Wakenya wasema 2025 ulikuwa mwaka mgumu zaidi
video
C
Citizen TV (Youtube)December 30, 2025
3h ago
Zaidi ya asilimia 80 ya wakenya hawana jema lililowafanyikia mwaka huu wa 2025 wakitaja mahangaiko yaliyosababishwa na gharama ya juu ya maisha. Aidha ufisadi, ushuru wa juu na sera za serikali zikitajwa kama sababu kuu ya mahangaiko yao. Haya ni kulingana na utafiti wa punde zai
Advertisement
Advertisement





