Back to home

Uhuru afoka kuhusu kununua ODM

video
C
Citizen TV (Youtube)
December 30, 2025
3h ago
Rais mstaafu Uhuru Kenyatta amewajibu baadhi ya viongozi wa ODM wanaodai kuwa ana njama ya kununua chama cha hicho na kukivuruga kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka wa 2027. Akizungumza katika mazishi ya mbunge wa zamani wa Lugari Cyrus Jirongo kaunti ya Kakamega hii leo, kenyatta am
Advertisement