Back to home

KWS limeeleza kuridhishwa na ongezeko la watalii wa ndani na kigeni

video
N
NTV Kenya (Youtube)
January 2, 2026
2h ago
Shirika la wanyamapori nchini, KWS, limeeleza kuridhishwa na ongezeko kubwa la watalii wa ndani na wa kigeni waliotembelea mbuga ya wanyapori ya Nairobi siku ya kufungua mwaka mpya. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans.
Advertisement