Back to home
Rais Ruto ahakikisha kwamba ujenzi wa uwanja wa Bikhungu utakamilika kabla ya Disemba 2026
video
N
NTV Kenya (Youtube)January 2, 2026
3h ago
Rais William Ruto amewahakikishia Wakenya kwamba ujenzi wa uwanja wa Bukhungu katika kaunti ya Kakamega utakamilika kabla ya Disemba mwaka huu, kabla ya mashindano ya kombe la mataifa ya Afrika yaliyopangwa kufanyika mwaka ujao.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Keny
Advertisement
Advertisement




