Back to home

Thitani FC na Kairungu Starlets watwaa ubingwa wa Nguna Cup awamu ya 23

video
C
Citizen TV (Youtube)
January 2, 2026
3h ago
Thitani FC na Kairungu Starlets ndio mabingwa wa awamu ya 23 ya mchuano wa Nguna cup uliokamilika eneo bunge la Mwingi Magharibi kaunti ya Kitui
Advertisement