Back to home

Watu wawili wahofiwa kufariki baada ya jengo kuporomoka South C

video
C
Citizen TV (Youtube)
January 2, 2026
4h ago
Watu wawili wanahofiwa kufariki baada ya jengo la kuporomoka mapema leo mtaani south c. Hivi sasa oparesheni ya kuwatafuta wawili hao katika vifusi vya jengo hilo inaendeshwa na maafisa wa jeshi wakishirikiana na polisi
Advertisement