Back to home
Mwakilishi wodi Robert alai anadaiwa kumtishia maisha mbunge Babu Owino
video
C
Citizen TV (Youtube)January 4, 2026
22h ago
Maafisa wa upelelezi katika kituo cha polisi cha Kilimani wanachunguza kisa ambapo mwakilishi wodi wa Kileleshwa Robert Alai anatuhuma kumtisha kwa bunduki mbunge wa Embakasi Babu Owino
Advertisement
Advertisement





