Back to home
Shule ya Msingi ya Loromoru kaunti ya Baringo yabomolewa
video
C
Citizen TV (Youtube)January 5, 2026
1d ago
Shughuli za Masomo katika shule ya Msingi ya Loromoru kaunti ya Baringo zimekosa kuanza kwa muhula wa kwanza, baada ya shule hiyo kubomolewa na maafisa wa idara ya misitu nchini. Idara ya misitu ikisema kuwa baadhi ya madarasa ya shule hiyo yamejengwa kwenye ardhi ya msitu wa Muk
Advertisement
Advertisement


